K
Shinji Kagawa ametolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Japan ambacho kinajiandaa kucheza mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza kombe la Dunia 2014 nchini Brazil dhidi ya Iraq baada ya kupata maumivu ya mgongo. Hadi sasa haijathibitishwa Kagawa atatakiwa kukaa nje ya dimba kwa mda gani.
0 comments:
Post a Comment