Monday, September 10, 2012
Guardiola mrithi wa Ferguson!
Wakati wengi wetu tukijiuliza ni lini na nani atarithi kiti cha Sir Alex Ferguson pale Old Trafford,gazeti la El Mundo Deportivo la Hispania limeripoti ya kwamba Ferguson alikutana na Pep Guardiola(41) NewYork ili kujadili juu ya uwezekano wa Pep kumrithi pale Old Trafford,babu atatimiza miaka 71 1/1/2013 anatarajiwa kurithiwa na aliyekuwa kocha wa Barcelona na aliyetangaza mapumziko kwenye soka kwa muda!
Labels:
Ferguson,
New York,
Pep Guardiola
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
i think its true pep will lead united in years to come...
Post a Comment