MTANDAO RASMI WA MANCHESTER UNITED NI KWAMBA MCHEZAJI NICK POWELL AMEJIUNGA NA KLABU YA WIGAN ATHLETICS KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA NA BEBE AMEUZWA KWA MKOPO KWA KLABU YA FC PACOS DE FEREIRA YA URENO.
KATIKA DAKIKA ZA MWISHO ZA DIRISHA LA USAJILI MANCHESTER UNITED IMEKAMILISHA USAJILI WA MCHEZAJI MOURAINE FELLAINI ALIYESAJILIWA KUTOKA KLABU YA EVERTON.
KWA KUJIUNGA NA UNITED FELLAINI ANAKUWA AMEUNGANA NA KOCHA WAKE WA ZAMANI DAVID MOYES WALIYEKUWA WOTE KLABU YA EVERTON